LOWASA ANENA MAZITO KABLA YA KUTAKA KUTUA CCM;…

Baada ya kuenea kwa video ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akieleza kuwa amepokea ujumbe wa waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa kuwa ameomba kukutana na Rais Magufuli kwa lengo la kuomba kurudi CCM akitokea Chadema, AyoTV imeongea na Edward Lowassa na kuzungumzia kuhusiana na taarifa hizo.

“Mimi hizo habari nimezisikia kutoka kwenu na nimezisikia leo taarifa hizo sio za kweli sijaomba kukutana na Rais na nashangaa kwa nini Mkuu wa Mkoa mzima anasema uongo na anaachiwa bila kuchukuliwa hatua, nataka kumwambia aache uongo na sina mpango wa kurudi CCM” >>> Edward Lowassa

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*