HUYU NDIO MAGUFULI ATANGAZA HICHI KUHUSU DK SLAA..

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, Leo Novemba 23, amemteua Dkt Willbord Slaa, kuwa balozi.
Kwa mujibu wa taarifa ya kurugenzi ya mawasiliano ya Rais Ikulu, Dkt Slaa ataapishwa baada ya taratibu kukamilika.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*