HICHI NDICHO ALICHO FANYA WEMA KWA MAPAPARAZI JANA AKIWA MAAKAMANI….

Mwigizaji staa wa Tanzania na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu amefika tena Mahakamani leo November 16 2017 kwenye ile kesi dhidi yake ya kutumia dawa za kulevya.

Wakili wa Serikali ameeleza kwamba kesi hiyo imeitishwa kutokana na kuendelea na ushahidi lakini kutokana na ufinyu wa muda wanaomba iahirishwe hadi tarehe nyingine ambapo Hakimu Simba alifanya hivyo kwa kuiahirisha hadi November 24 2017.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*