DAH;KWELI VYUMA VIMEKAZA MUZIKI MPAKA MUUZA………………………

Video inayosambaa ikimuonyesha Ferouz wa Daz Nundaz msanii aliyetikisa na wimbo uitwao wa Starehe uliofanya vizuri mpaka akapewa zawadi na mh rais wa zamani mkapa.
Hapo awali inasemekana maisha yake yalikuwa magumu na pia ni mtumiaji wa madawa ya kulevya! VIDEO:

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*