MANENO YA PAUL MAKONDA KWA LULU MICHAEL YAIBUA MAZITO…..

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo ameposti kupitia account yake ya Instagram ujumbe wa kumpa moyo mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ baada ya Mahakama Kuu kumhukumu kwenda jela kwa miaka miwili kwa kumuua mwigizaji Steven Kanumba.

Ujumbe huo ulikuwa na maneno: There is a room in every situation. Stay strong, Dady is coming! yakimaanisha kwamba kuna nafasi katika kila hali. Endelea kujipa moyo, Baba anakuja!
Mkuu wa mkoa huyo hakufafanua wazi aliposema Baba, akimaanisha Baba Mungu au Baba yupi.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*