Tetesi za soka Ulaya

Kiungo wa kati wa Liverpool Philippe Coutinho, 25, ataitaka klabu hiyo kukataa ombi lolote kutoka kwa PSG huku mchezaji huyo wa Brazil akitafuta kujiunga na Barcelona. (Sport via Daily Mail)

Mkufunzi wa Tottenham Mauricio Pochettino anamchunguza mchezaji wa Argentina na West Ham mwenye umri wa miaka 24 Manuel Lanzini. (Mirror)

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*