JPM AFANYA MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI, BASHE, SHONZA NDANI, KASHILILA OUT

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri nchini huku akizigawanya baadhi ya wizara zikiwemo Wizara ya Kilimo na Mifugo, Nishati na Madinina na kuongeza wizara mpya mbili na kufikisha jumla ya wizara 21. Katika Mabadiliko hayo, Mawaziri wawili na manaibu waziri wameongezwa.
Aidha Rais Magufuli ametangaza mabadiliko na kuteua Katibu mpya wa Bunge huku akieleza kuwa aliyekuwa Katibu wa Bunge, Thomas Kashilila atapangiwa kazi nyingine.
Kwa ufupi.

Mahiga, Mwakyembe, Kabudi, wamendelea na wizara zao.
Hussein Bashe: TAMISEMI
Katibu wa Bunge: Aondolewa na kuwekwa mpya
Medadi Kalemani: Wizara ya Madini (imegawanywa kwa sasa)
Angela Kairuki: Waziri wa Nishati na Madini.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*