VIDEO….Mke wa Jose Chameleone Ashuhudia Mmewe Akitandikwa Mabanzi na P-Funk Majani Kampala…

wa wale wanaofuatilia mziki wa bongo fleva, na wa afrika mashariki kwa ujumla matumaini yangu ni kwamba mnamjua mtayarishaji wa beats maarufu kwa jina p-majani kinywele kimoja,

Mwaka 2005 na 2006 alitayarisha mlio wa mziki ambao ulitumika kwa wimbo wa mwanamziki nguli Joseph Haule maarufu kwa jina Professor J, wimbo kwa jina unaitwa nikusaidieje,

Jose chameleone kwa ujanja ujanja akasema akaiba beat ile na kutumia kwenye mziki wake wa bombo crat, ambayo ilifanya vyema nchini uganda,

Baada ya mwenye mali kugundua kuwa kaibiwa, akawasiliana na chameleone. na majibu ya chameleone ikawa kama anaomba msamaha fulani hivi na akaahidi kulipa dola za kimarekani 2400, miaka ikakatika miwili bila kulipa , majani akakaa kimya kwa kujua kwamba basi ngoja asamehe,

Mwaka 2008 nchini kenya kulikuwapo na programu ya kutumia miito ya simu ya ala zinazoendana na beats au milio ya mziki iliyotengenezwa na wasanii mbali mbali au watayarishaji , MTN ilishirikiana na kampuni ya nje ya uganda waka lounge hiyo program kenya, ule mwito wa beat ya nikusaidieje ukatumika kwenye ring tone , na wakalipa dollar 12,000 Jose akaenda akiwahi akachukua hiyo hela, jambo ambalo limemkwaza sana bwana p-funk akamtext chameleone akakaa kimya

Hatua alizochukua majani ni kwenda KOSOTA, wakamzungusha akaenda uganda kudai kwenye chama cha wanamziki na utayarishaji wa filamu, wakamzungusha saana, akaamua kuachana nayo,

Mwaka huu 2017 march marekani kuna watayarishaji wa filamu , katikla filamu moja wakaomba kutumia beat ya P-funk majani ya nikusaidieje lakin wakataka kwanza wawasiliane na muhusika wa mziki, confusion ikaja pale nani wamuone either Chameleon wa bombocrat, au Profesa J wa nikusaidieje,

Baada ya chameleone kujua kuna dili ilo akapanda ndege akaenda USA, akakutana nao wakasaini mkataba wa maisha atalipwa milele kutokana na mauzo ya filamu ile na wakampa advance 50,000 USD, kama advance payment, Yaan milion 120 za Tanzania

Mbabe Majani baada ya kujua hayo akaenda direct kampala kupata go ahead , akapata vibali vyote akaenda USA kushitaki ,taratibu ziko za kisheria ambazo kafuata, kaambiwa kuwa concert mawakili mpaka kwanza awe na USD 20,000 ili kesi yake kusimamiwa,

Chameleone alivyosikia hayo akampigia majani akasema nataka nikuwekee ile dolla 2000 tuliyokubaliana mwanzo ili tusifike mbali, majani akasema nitakutafta,

Wiki hii wamekutana kampala , akamkabidhi kwanza vibao vya kutosha mke akataka kuingilia kati majani akamshika nywele naye mke akaponyoka akakimbia,
si mara ya kwanza kwa chameleone kuwatapeli watu ni tabia yake na ana conflict na ndugu zake na wasanii wa uganda

 

Kesi ya madai majani kafanikiwa kuifungua marekani na wanaendelea na utaratibu

Uzuri wamekubali kumlipa hao wa hollywood watayarishaji wa movie, na wamesema kumwendea jose chameleone kurefund hela yao na kuchange mkataba

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*