BREAKING NEWS….MC PILIPILI NDIO BASI TENA APATA AJALI MBYA MNO YA GARI…..

Mchekeshaji, Mc Pilipili amepata ajali katikati ya kijiji cha Nyasamba na Bubiki mkoani Shinyanga.
Kwa mujibu wa mpiga picha wake aliyejulikana kwa jina la Lumato amethibitisha Mchekeshaji huyo kupata ajali, chanzo cha ajali hiyo ni dereva alikuwa anamkwepa mtoto aliyekuwa anaeendesha baisikeli, Mc Pilipili amekimbizwa jijini Mwanza kwa matibabu zaidi.
JICHOLETU inatoa pole kwa Mc Pilipili, Tunamwomba Mungu amponye haraka…

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*