BUNGENI…WALICHOFANYA UKAWA BAADA YA KUTOKA NJE NI NOMA TAMKO LAO LATIKISA NJE…

Jumanne September 5, 2017 Wabunge wa Upinzania Bungeni wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi ‘UKAWA’ waligoma kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati Wabunge 8 wapya wa Viti Maalumu wa CUF wakiapishwa kuchukua nafasi ya Wabunge waliofutwa CUF.

Wabunge hao wamegoma kuapishwa kwa Wabunge hao wapya wakisema kuwa hawakubaliani na hatua hiyo kwa kuwa haijafuata misingi ya kisheria na wanawaunga mkono wenzao waliofukuzwa.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*