MTU ANAVYOWEZA KUPATA UNGONJWA WA INI KUPITIA SALON…

Tumekuwa tukienda salon kwa ajili ya kunyoa nywele lakini inawezekana tulikuwa hatufahamu kuwa kama taratibu za kiafya zisipofuatwa inaweza kusababisha mtu kuambukizwa homa ya Ini.

Mtaalamu wa Dawa na Tiba, Dr. Sajjad Fazel kwenye huu ufafanuzi ambapo.

>>>”Virusi hivi hufanya Ini lisifanye kazi na baadaye kusababisha Saratani, na moja ya dalili za homa ya Ini ni macho na kucha kuwa na rangi ya njano.” – Dr. Sajjad Fazel.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*