Mrembo Hamisa Mobetto Ajifungua Mtoto wa Kiume..Utata Kuhusu Baba wa Mtoto

Hongera zake kwa kupata mtoto na kama hizi tetesi za kwamba ni mtoto wa Diamond zina ukweli basi huyu mtoto kazaliwa mwezi mmoja na dada yake Tiffa….Mwenyewe Hamissa bado ameweka swala la baba wa Mtoto kuwa siri kitu ambacho kinaongeza tetesi kuwa ni mtoto wa Diamond Platnumz huku wengine wakisema kuwa amezaa na Majizo ambae alikuwa Mpenzi wake wa zamani na wana mtoto mmoja pamoja…..

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*