MAAJABU…SHILOLE AMVUA NGUO NUH MZIWANDA WATANZANIA WATOKWA NA MAPOVU KWA TUKIO HILI…

Moja ya stori ambayo ilikuwa inasambaa sana na kuchukua headlines kwenye mitandao ni kuhusu Mwimbaji Shilole kudaiwa kuivuruga ndoa ya Nuh Mziwanda na Nawal ambao kwa sasa wameachana…sasa Soudy Brown kawagonganisha.

Kupitia The Weekend Chat Show ya Clouds TV aliwagonganisha Shilole na Nawal ambao wanadaiwa kutoelewana ambapo kwenye mzungumzo hayo Shilole alipigiwa simu na kuambiwa yupo live kwenye kipindi ambacho Nawal alikwepo.

>>>“Mimi sina tatizo, mlikuwa mnasemaje? Mimi Shishi baby namjua bwana wake kuliko anavyomjua huyo bwana wake anayesema amemuacha mimi namjua kuliko anavyojua. Kwa hiyo anavyosema nimekimbia kichambo nimekimbia kitu gani yeye ndio amekimbia ndoa mapenzi ya watoto utayajua tu ngoma ya watoto haikeshi bwana wee. – Shilole

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*