PICHA 13…. MUONEKANO Mpya wa Mrembo VERA Sidika Wawato Mijidume Yenye Tamaa Mate

Video vixer kutoka Kenya, Vera Sidika ameamua kubadirisha muonekano wake wazamani na kuhamia katika muonekano wa rangi ya blue kwa nywele na mavazi.

Vera ambaye bado yupo nchini Uingereza, akila bata ametupia picha zake katika mtandao wa Instagram kuonyesha muonekano wa Blue Blue, muonekana ambao umewafanya baadhi ya watu katika masuala ya urembo kuusifia na wengie kumtaka apunguze rangi ya mdomo (lipstick).

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*