BREAKING NEWS: MAJAMBAZI WANNE WAUAWA NA ASKARI POLISI KIBITI….

Jeshi la Polisi limesema limewaua majambazi wanne waliokuwa na SMG na risasi 17 kwenye kijiji cha Pagae Kibiti, wakitajwa kuhusika na mauaji ya Askari na raia wasiokuwa na hatia yanayofanywa Mkoa wa Pwani.

Kumekuwa na mauaji ya Askari na raia wasiokuwa na hatia katika maeneo ya Kibiti, Rufiji na Mkuranga mkoani Pwani ambapo Serikali imekuwa ikifanya juhudi kuhakikisha watu wanaoshiriki mauaji hayo wanapatikana.

Jeshi la Polisi limesema limewaua majambazi wanne waliokuwa na SMG na risasi 17 kwenye kijiji cha Pagae Kibiti, wanatajwa kuhusika na mauaji

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*