HEKAHEKA HII YA MTWARA NOMA MWANAUME AMUOA MWANAUME MWENZIE BILA KUJUA…

Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM leo June 29, 2017 imetokea Mtwara ambako mwanaume mmoja amemuoa mwanaume mwenzie bila kujua na kuishi naye miezi minne bila kushiriki tendo la ndoa baada ya mwanaume aliyeolewa kudai anaumwa.

Tukio hilo limetokea baada ya mwanaume kukosea namba na kumpigia aliyejifanya mwanamke kisha kuanzisha uhusiano ya kimapenzi hata wakafikia hatua ya kukubaliana kufunga ndoa ambapo mwanaume huyo alikuwa anavaa mavazi ya kike kiasi kwamba ilikuwa ngumu kubainika kama ni mwanaume.

 

 

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*