EXCLUSIVE: Kingine kutoka kwa Mtanzania aliyesoma kwa ada ya Milioni 365 (+AUDIO)

 

Kama ndio kwanza unakutana na hii, nakukumbusha kwamba Benjamin Fernandes ni Mtanzania ambaye anaingia kwenye historia kubwa kwenye upande wa elimu baada ya kupata ufadhili wa kusoma chuo kikuu cha biashara Stanford Graduate School of Business nchini Marekani.

Ni Mtanzania wa kwanza kupata udhamini wa masomo (Scholarship) ya heshima kusoma chuo hicho kwa ada ya dola 160,000 za Marekani ambazo ni zaidi ya milioni 365 za Tanzania. Scholarship kama hiyo imetolewa kwa watu nane tu kutoka Afrika akiwemo yeye.

Najua ninao watu wangu wa nguvu ambao ama wao au watu watu wao wa karibu wamehitimu masomo ya Kidato cha Nne na Sita na wanatafuta Vyuo vya Elimu ya Juu ili kujiendeleza kimasomo.

Nimekutana na GOOD NEWS na ikufikie kwako pia taarifa hii kutoka Center For Foreign Relations Dar es Salaam (FULL ACCREDITED BY NACTE) ambayo nimekuwekea hapa chini..

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*