SAD NEWS: AJALI MBYA YAKUTISHA YATOKEA MKOANI MANYARA BASI NZIMA LATUMBUKIA DARAJANI NA KUUA…

Ripoti iliyonifikia muda huu kutoka mkoani Manyara inaeleza kuwa watu watatu wamefariki dunia na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Harmandos kukatika Steering Road na kutumbukia darajani, huko Haydom Mbulu.

hii ikiwa nia jali nyingine naada ya ajali ya wanafunzi wa arusha mungu azidi kuinusuru ichi yetu kwa ajali hizi…

mda mwingine pia serikali yetu yatakiwa kuwa makini na miundombinu mana imezikuwa chakavu sana K WANIMAISHA YATU YANAKATISHWA KWA AJLI TU SIZOKUWA HATA NA SABABU ZA MSINGI KWA PAMOJA TUSIMAME KUAWOMBEA MAJERUHI WOTE WARUDI KATIKA AFANYA ZAO MUNGU INUSURU TANZANIA YETU….

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*