BREAKING NEWS: ZARI AFUNGUKA MAZITO ISSUE YA ALIEKUWA MUMWE IVAN KUUWAWA…

Anasema hajapewa sumu bali alipata stroke BP ikapanda ikapelekea damu kumwagika kwenye ubongo.

Daktari akasema hawezi kurudia kama kawaida.
Madaktari walitaka kumfanyia operation ila presha ikawa 220 wakati normal BP ni 120.

Dokta alipoona hawezi kupona tena aliniita nije kumuaga na baada ya kumuaga saa 2 usiku nikapigiwa simu mgonjwa wako amekufa.

Watu wanasema kuna bifu kati yangu na familia ya Ivan ila sina bifu na familia ile.

Ikumbukwe kwa sasa ZARI akibidhiwa mali zote za mumewe na kuweza kuzisimamia ipasazwo MUNNGU azidi kuilinda hii Familia hasa kwa kipindi hiki kizito hasa watoto hawa marehemu…..

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*