MAPENZI: KAMA HUJUI HII NDIO NGUVU YA PESA KWENYE MAHUSIANO…

Pesa kwenye Biblia takatifu imezungumzwa katika vifungu 2,350 .Pesa ndio humpa mwanadamu heshima,umaarufu na jina zuri.Pesa ni ulinzi na ngao ya kujikinga na mambo mengi ukiwa ungali hai ijapokuwa tunaziacha duniani.

Baadhi ya wanaume wenye pesa huwa hawajui wanawake wazuri na bora ,Najiuliza ni mwanaume gani jasiri anayemtafutia ,Iggy Azalea mwanamke mwenzie kwa uzuri na urembo alio nao Iggy Azalea?

Pesa huficha tabia mbaya, na Ukiona mwanamke amekuacha kwa ajili ya pesa ,basi jua akienda kwa mwanaume mwenye pesa atamuacha kwa ajili ya mapenzi ya dhati.

Na ukiona mwanaume amekuacha wewe mwanamke kwa ajili huna shape nzuri jua akienda kwa mwanamke mwenye shape nzuri atakosa mapenzi ya dhati .Nguvu ya kiume ni pesa na sio viroba wala supu ya Pweza.When money speaks, the truth remains silent.#Money

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*