MAAMUZI MAZITO YA CCM KWA NAPE NAUYE HII LEO HISTORIA NZITO KUANDIKWA NCHINI…

Taarifa kutoka chanzo cha ndani kabisa ndani ya CCM zinasema kwamba kuna uwezekano mkubwa katika Kikao kijacho cha CCM takribani Wanachama 11 wakafutiwa Uanachama ambapo ndani yao wapo Vigogo Watatu ambao ni Nape Nauye, Hussein Bashe na Msukuma.

Nape na Bashe wanafukuzwa baada ya kugundulika kuwa wanatumika na Chama cha Upinzani CHADEMA huku Msukuma anafukuzwa kwa kosa la kuwa mropokaji, mweneza chuki na mtu asiye mkweli kwa Wanachama wenzie.

Hii likiwa ni panga takafu kuwahi hata kutokea katika miaka yote ya ccm kuwa madarakani wanachama wengi wapo katika hali ya sintofahamu wakisubiri hasa hukumu ya ciongozi hawa…

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*