MAAJABU: HAMJUI MWANAUME MIAKA MITATU LAKINI KAPATA MIMBA….

Mwanamke mmoja mkazi wa Singida anayefahamika kwa jina la Zaria Hamza ameingia kwenye headlines baada ya kupata ujauzito lakini bila kumjua mwanaume kwa kipindi cha miaka mitatu baada ya kuachana na aliyekuwa mumewe.

Ni tukio la kustaajabisha maana mara yake ya mwisho kukutana kimwili na Mwanaume ilikua zaidi ya miaka mitatu iliyopita lakini juzi alijifungua mtoto…ilikuaje? hilo ndilo swali kubwa analolijibu.

“…nilikaa muda mrefu bila kupata mtoto hadi kupelekea kutengana na mume wangu 2014. Tulivyotengana sikutaka tena kuolewa wala sikutaka kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote.” – Zaria Hamza.

Zaria Hamza anasimulia mengi zaidi ya namna alivyopata ujauzito bila kukutana kimwili na mwanaume na jinsi alivyoishi tangu hapo mpaka alipojifungua na kilichoendelea baada ya kujifungua…kwenye hii video ina kila kitu kuhusu simulizi hiyo ya kustaajabisha ambayo unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza PLAY…

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*