BREAKING NEWS: KIMENUKA BUNGENI LISSU AFANYA BALAA ZITO AMKABA KOO RAIS MAGUFULI…

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amesema kuwa msimamo wake wa kupinga kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli cha kuzuia mchanga wa dhahabu kusafirishwa nje uko pale pale.

Ameyasema hayo bungeni mjini Dodoma, ambapo amesema kuwa kuzuia mchanga huo wa dhahabu kusafirishwa kwenda nchi za nje kutaathiri uchumi kwani atakuwa ameenda kinyume na mikataba ya kimataifa.

“Rais Dkt. Magufuli amefanya kitendo ambacho ni kinyume na mikataba ya kimataifa, kwa hiyo hapa tutegemee hasara kubwa na kutengwa na jumuiya ya kimataifa,”amesema Lissu

Toa maoni yako hapa

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*