MZEE YUSUPH AFUNGUKA SIRI NZITO MAISHANI MWAKE BAADA YA KUACHA MUZIKI..

Aliyekuwa Msanii nguli wa Taarab nchini Mzee Yusuph amesema kwa sasa maishayake yamekuwa magumu baada ya kuacha muziki

Baada ya kuacha muziki anadai alijaribu shughuli nyingine ikiwemo kufungua duka Kariakoo lakini duka likafeli, lakini anasema maisha yamekuwa ya amani kuliko zamani na hata mtu akimuomba hela haogopi kumwambia hana kwa sababu hana kazi

Pia alipoacha muziki alikuwa ameshachukua milioni 25 za show na alipoulizwa itakuje na show alizochukua hela alisema Allah ndio atajua

Hii ikia ni safari chache kuona wasanii wakijaribu kumrudia muumba baada yya kukaa lwa mda mrefu kuutumikia huu mziki wa dunia…

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*