HOT NEWS: HIKI NDICHO ALICHOFANYA MSANII DIAMOND KWENY MSIBA WA DOGO MFAUME..

Msanii wa muziki wa bongo fleva, Dogo Mfaume ambaye aliwahi kutamba na nyimbo kama ‘Kazi Yangu Ya Dukani’ amefariki dunia leo

Dogo Mfaume ambaye alitumbukia kwenye janga la madawa ya kulevya na baadaye kuanza kupata matibabu ya kuondokana na matumizi ya madawa hayo kupitia kituo cha Pilli Missana Foundation kilichopo Kigamboni.

Akiongea na EATV Pili Missana ambaye ni Mkurugenzi wa kituo hicho amethibitisha kufariki kwa msanii huyo.

Mungu amlaze mahali pema peponi Dogo Mfaume. Jikumbushe na moja ya kazi yake hapo chini

Toa maoni yako hapo chini

hakika ya kila nafsi itonja umati

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*